Naomba ushauri kuhusu hili tatizo linalonikabili

Naomba ushauri kuhusu hili tatizo linalonikabili

Dah ! Mkuu mwaka wa kwanza tu changamoto hizi ......ila nakuombea uvuke salama
 
Kama una Kadi ya chadema naweza kukusaidia!
 
Huyu jamaa alikuwa tapeli nini?? naona MODS wamemdaka
 
Nadhani huyu udsm 2016 na madihani ni mtu mmoja so mods wameziunganisha ID zake

Na alitaka kutumia hiyo ID ya udsm 2016 kufanya utapeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom