Habarini wana JF,
Naombeni ushauri mwanangu ana umri wa mwaka na miezi 3 sasa anapenda Sana kunywa maziwa ya ng`ombe lakini anapoyatumia anapata kinyesi chepesi na chenye harufu Sana na rangi ya maziwa maziwa. Je, tatizo linaweza kuwa nini kuhusiana na hayo maziwa? Haonesha kupata maumivu ya tumbo, muwasho wala kuvimba scheme yoyote ya mwili.
Karibuni kwa ushauri wa kitaalamu uzoefu n.k
Natanguliza shukurani.