Naomba ushauri kuhusu hili la Loan board

Naomba ushauri kuhusu hili la Loan board

medyh99

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
207
Reaction score
234
Mambo vipi Wana Jf. Hawa loan board juzi kati hapa walitupa ujumbe kwenye account zetu ikiwa umepatia kuomba mkopo au umekosea.

Kwa walio kosea walihitajika kufanya marekebisho, lakin hizo account zimefungwa kiasi kwamba zinakuzuia kufanya marekebisho. wadau naomba ushauri kuhusu hii kitu. Kwan hutokea miaka.

Yote jeeh na wahusika hufanyaje? Maana hapa tarehe ya mwisho kufanya marekebisho ni tarehe 11.

JPEG_20221008_172527_3520326493137080919.jpg
 
Nani alikwambia mwisho wa kufanya marekebisho ni tarehe 11?

Binafsi sijakuelewa.

Me nilivoelewa hapo kwamba maombi yako hayajakua verified bado.

Sasa ni wapi hapo wameandika kuwa umepatia au umekosea maombi?

Au mimi ndo sijui kusoma!?😩
 
Nani alikwambia mwisho wa kufanya marekebisho ni tarehe 11?
Binafsi sijakuelewa
Me nilivoelewa hapo kwamba maombi yako hayajakua verified bado..
Sasa ni wapi hapo wameandika kuwa umepatia au umekosea maombi!?
Au mimi ndo sijui kusoma!?
Hata mimi sikuona hiyo tarehe 11 .
Kuna sehemu waliandika Kufanya marekebisho, naomba niishio hapo.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Update pekee iliyopo ni hii
 

Attachments

  • Screenshot_20221010-073729_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20221010-073729_Opera Mini.jpg
    20 KB · Views: 21
Back
Top Bottom