Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafutaTafuta usafiri unaoendana na hali yako kiuchumi mkuu.
Ndio ndio mkuu. Ufahari wa nini wakati unajiumiza? Tembelea hata ka kirikuu ni usafiri na ukipata deal unapiga.Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafuta