scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
sawa kaka kwani shida inaweza kuwepo eeh na sio kuwa yy alilazimisha kuniuzia mm ndo nilimlazimisha na ni mwaminifuTake care broo. Sio lazma ununue kwake
Hapo pana shida tayal. Sasa cjui utatumia mbinu gan Mana nusu uliyompa atakua keshakulasawa kaka kwani shida inaweza kuwepo eeh na sio kuwa yy alilazimisha kuniuzia mm ndo nilimlazimisha na ni mwaminifu
hapana nikihitaji anaweza nirudishia hilo halina shaka mimi nilitaka kujua ubaya na uzuri wa hizi tv za mtumba ili nione wapi pa kuchaguaHapo pana shida tayal. Sasa cjui utatumia mbinu gan Mana nusu uliyompa atakua keshakula
hilo ndo sikufanya kwan nch huwa ni kioo na kioo au upande na upande pamoja na plasticUngepiga na picha mkuu
duuuh aseeKwa uzoefu tu hio tv yenye nyama kubwa pembeni LCD hio toleo la zaman kwa kula umeme hapo jipange
asante sana kwa ushauriTV za mitumba ziko nzuri tu n nyingi Ila zingatia specific za bidhaa ukitak kununua unachukua model namba kisha unagugo unaona detailz zake zotee
asante kwa ushaurAcha ufala wewe unanunuaje li tv toleo limepita miaka 17 haina mambo mapya mengi tu, nenda karia koo laki nne na nusu unapata smart tv ya tcl inch 32 mpya
Inaonesha u mpole[emoji23]asante kwa ushaur
sawa lkn hapa akili ya kwenda kuchukua advance yang ishaanza kunijiaInaitwa Bezell hio plastic ya pembeni, kama mdau hapo juu alivyokwambia inaweza kuwa ni plasma na sio led. Plasma zinakuwa mamia ya watts Sometime hadi 300W,
Cha muhimu mkuu weka model hapa, piga picha ama inakili. Kupitia model tutajua kama ni nzuri ama la.
Vyema kusolve kisomi mkuu, kuna tv zina bezell ni kali sana, na zipo ambazo ni ovyo. Cha muhimu ujue specification.sawa lkn hapa akili ya kwenda kuchukua advance yang ishaanza kunijia
ndio mkuuVyema kusolve kisomi mkuu, kuna tv zina bezell ni kali sana, na zipo ambazo ni ovyo. Cha muhimu ujue specification.
Kalete Details Wakandarasi Wakupe Mwongozo Chapndio mkuu