Naomba ushauri kuhusu dini

Hivi unajisikiaje jitu zima kama ww kuja kuandika uongo kama huu tena ulio kosa ubunifu ili angalau watu wauamini?

Ebu tupe aya yeyote kwenye Qruan na utupe tafisiri yake kama kweli una elimu kuhusu uislam.

Au taja nguzo za Uislam.
 
Mzungu gani Tena?ushachanganya mafaili...Sina historian ya mzungu kwenye Maisha yangu
Kuna uzi dada yetu email zetu zilikuwa azijibiwi huko juu ambapo sio kawaida akaomba ushauri,basi takuwa nimechanganya mafaili
 
Kwanini ulikuwa unalia kila usikiapo Qur'an?!! Nijibu hapo kwanza ndipo nianze kushusha ushauri wangu
 
Hivi unajisikiaje jitu zima kama ww kuja kuandika uongo kama huu tena ulio kosa ubunifu ili angalau watu wauamini?

Ebu tupe aya yeyote kwenye Qruan na utupe tafisiri yake kama kweli una elimu kuhusu uislam.

Au taja nguzo za Uislam.
Nimekuja kuomba ushauri sijaja kubishana! Kama huna kaa kimya!
 
Kwanini ulikuwa unalia kila usikiapo Qur'an?!! Nijibu hapo kwanza ndipo nianze kushusha ushauri wangu
Ukisoma hapo vizuri utaelewa ila kwakurudia tu ni kuwa hadi leo sijui kwanini nilikua nalia ndiyo nikawa namuuliza mama tu
 
Mimi namuabudu Mwenyezimungu! Utakua umechanganya mafaili
 
You feel guilty about what you did…apo wewe mwenyewe hujielewi unafikiri Nani atakae kuelewa.

Unajua hukmu ya murtad..!!
Kama na wewe hujanielewa suburia ushauri wa wengine! Hiyo hukumu kwasasa kaa nayo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…