She is Aisha
Member
- Jun 1, 2024
- 6
- 5
Mbona umempa jibu la kifedhuli sana. Jaribu kuwa na utu, si lazima uchangie kila uzi mkuu. Nilifikiri una hekima kumbe ni wale wale wajuaji tuWewe ushajichanganya, kwa yaliyotokea mlaumu kaka yako japo haitasaidia kitu
Wapi umeona nimechangia kila uzi? Wapi nimeleta ufedhuli! Haya lini tulishawahi kuongea nikakwambia nina busara?Mbona umempa jibu la kifedhuli sana. Jaribu kuwa na utu, si lazima uchangie kila uzi mkuu. Nilifikiri una hekima kumbe ni wale wale wajuaji tu
Kijamaa hata hakiendani na u-Dr kilichojipatiaMbona umempa jibu la kifedhuli sana. Jaribu kuwa na utu, si lazima uchangie kila uzi mkuu. Nilifikiri una hekima kumbe ni wale wale wajuaji tu
Ulichojibu kinaonyesha kuwa wewe ni mtu mwenye very low EQWapi umeona nimechangia kila uzi? Wapi nimeleta ufedhuli!
Nilitarajia ungetoa mchango wako unaohusiana na uzi badala yake umekuja kunishambulia?
Hakika mkuu, ni kijuaji sana na hakina utu. Wapo binadamu wengi wa aina yake.Kijamaa hata hakiendani na u-Dr kilichojipatia
EQ ❎❎❎Ulichojibu kinaonyesha kuwa wewe ni mtu mwenye very low EQ
Yaani umejipa hadi u Dr. na hujui kuwa EQ inamaanisha Emotional quotent na si IQ (Intelligency Quotent). Nimethibitisha ulivyo mwepesi sana upstair na inawezekana hata IQ pia iko chini sana. Punguza ujuaji mkuu.EQ ❎❎❎
IQ✅✅✅
Pamoja sana ndugu leonardo da vinci
Stick kwenye mada sijaona coment yoyote ulotoa yenye kumsaidia mtoa mada zaidi ya kuona wenzio hawana akili hii ni jf kila mtu anachangia anavyoona hizo EQ unazoleta hapa ni janja janja tuYaani umejipa hadi u Dr. na hujui kuwa EQ inamaanisha Emotional quotent na si IQ (Intelligency Quotent). Nimethibitisha ulivyo mwepesi sana upstair na inawezekana hata IQ pia iko chini sana. Punguza ujuaji mkuu.
Ungefuta kwanza komenti yako iliyojaa ubinafsi na ujuaji. Wapo wajuvi na wenye utu watamsaidia tu.Stick kwenye mada sijaona comentbyoyote ulotoa yenye kumsaidia mtoa mada zaidi ya kuona wenzio hawana akili
Ndio shida ya jf kwa vile umeona id ni jina la kike unataka kujikosha kosha ili akuone una huruma uzame pm kiurahisi😀😀Yaani umejipa hadi u Dr. na hujui kuwa EQ inamaanisha Emotional quotent na si IQ (Intelligency Quotent). Nimethibitisha ulivyo mwepesi sana upstair na inawezekana hata IQ pia iko chini sana. Punguza ujuaji mkuu.
Hii comment ingekua mbaya mods wangefuta na ningekua banned mkuu..Ungefuta kwanza komenti yako iliyojaa ubinafsi na ujuaji. Wapo wajuvi na wenye utu watamsaidia tu.
Jifunze kuishi kwenye magumu wanayopitia binadamu wenzako, itakusaidia kuwa mtu mzuri mwenye utu.Hii comment ingekua mbaya mods wangefuta na ningekua banned mkuu..
Kufuta comment sio kazi yangu.
OVA