Double line
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 365
- 813
Location wapiWakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
Kikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mimi nilikuwepo, hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mimi nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela.Mkuu ur the outside watcher?
If yes je wewe umetafutwa kutoa ushauri?
Uo mradi wenu umekosa mikataba ambayo hipo strictly
So Ushauri wangu Fanyeni kikao Cha dharura kwanza
Mkuu hizo bajaji zilete KariakooKikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mm nlikuwepo hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mm nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela
Hili naomba nilipekue. Naona kama msasani na juu juu Masaki-coco kutafaa
Ni njia nzuri mie kwangu ni majimatituMbande
Hizo bajiji mlinunua mpya au used je Zina muda gani?Mbande mkuu. Mm niliuliza mpaka makabila yao wanachama ili nipate picha ya vikao vyao vyote
Ndo maana yake Mimi naelewa Sana hizo Kazi vijana hawana HURUMAYani zimefanya kazi usiku na mchana sio