Asante Balacuda,hizo MBA na ACCA au CPA ndio nini?Tatizo akija jamaa mwenye MBA mna-compete equally in each specialization. MBA Kiboko akiongeza na ka ACCA/CPA. kwisha yaani ni universal it cut across the entire finance industry. kazi unaacha leo mwezi ujao unapata mbili tena za juu. unaweza kuwa kahaba wa kazi
Habari wanaJF,
Naomba ushauri wenu kwa wanaojua kuhusu taaluma ya Banking.
Ningependa kujua vitengo vyake na duties.
Asanteni.
Master of Business Administration
ni masters degree yenye entry qualification requirements za kawaida sana, UDSM iko expensive kiasi, vyuo vingine ni relatively cheacper na unaipata less than two years ( haibagui taaluma)
Association of Chartered Certified Accountants (ACCA)
Ni certificate unayoipata baada ya kuhitimu masomo yenye background za usimamizi wa fedha (Accounting/Finance/Banking)
unafanya mitihani katika modules
hii ACCA ni nyepesi ukilinganisha na CPA kwa maana hawa jamaa wa CPA yaani NBAA (Bodi ya uhasibu) na wao sometime huwa wanafeli, maaana mitihani haitabiriki sometime haina uelekeo ( watu wanafeli mitihani mirahisi na kufaulu migumu) basi tu kwa kuwa hawana mtu wa kuwadhibiti unakomaa tu mpaka bahati ikuangukie
ACCA iko very classified, consistent to the sykllubs na pia iko fair kama umesoma vizuri hasa baada ya kuwa umemaliza masters chance ya kuondoA inakuwa kubwa ukijumlisha na work experience unakuwa na chance nzuri ya kujenga hoja.
SemA hii wengi wanaoisoma hapa bongo ni wahindi na kikubwa ni gharama unalipa kwa dola karibia mara 3 ya gharama ya CPA. lakini pia naona huwa wabogno wanajinyanyapaa kusoma na wahindi
CPA
certified public accountant (CPA) nayo in equivalent na ACCA ingawa ACCA inatolewa na UK ingawa review class zake zipo hapa bongo achA zamani ilikuwa labda uenda zambia au kenya au kwingineko ili kufanya hizo pepa
CPA ni hapa hapa bongo na unakomaa ila kwakweli jamaa hawajatulia kupita ni bahati maana huwa wanakamata unakuta kituo fulani cha review class labda kimesajili watu mia mbili wamekula wote sasa hapo na ukipima msuli ulikuwa ni wa kufa na waalimu wanapita mule mule lakini wapi
kama una kauwezo ukimaliza hiyo taaluma yako, piga Kazi kidogo, piga MBA then ukipata muda na peace of mind piga ACCA itakuchukua kama miaka mnne maximum unaitoa. habari za kukosa kazi zinakuwa hadithi.
mi nikiona management inaningilia sana kwenye kazi zangu na chuki za kijinga za wabongo na kupenda kwao hela za wizi unakuta manager anataka mpige cha juu, halafu usipoonyesha ushirikiano anaona kama unakula mwenyewe, mwisho wa siku uadui chuki, kusingiziwa unakwamisha program...aah mi napigaga chini tu overnight wala sijutagi. hakuna peace of mind zaidi ya kama unajua ulicholipwa ni kutokana na kazi ya mikono yako. kwa nini uwe guilty ndani ya nafsi? halafu mi huwa sijui maximum point ambapo mtu akifika haibi siijui, kwani utakuwa jamaa anatoka na M6 anafoji risiti ya elfu ishirini.. funny
me nafanya kazi bank, bank mizinguo tu unafanyishwa kazi kama punda halafu hamna lolote! kazi zenyewe za risk!!
Unafanya bank gani kaka, nasikia CRDB na NMB wanajitahidi sana
Asante sana mkuu,ila Hizi ACCA na CPA,kama zinahusu sana uhasibu vipi Banking and finance?Master of Business Administration
ni masters degree yenye entry qualification requirements za kawaida sana, UDSM iko expensive kiasi, vyuo vingine ni relatively cheacper na unaipata less than two years ( haibagui taaluma)
Association of Chartered Certified Accountants (ACCA)
Ni certificate unayoipata baada ya kuhitimu masomo yenye background za usimamizi wa fedha (Accounting/Finance/Banking)
unafanya mitihani katika modules
hii ACCA ni nyepesi ukilinganisha na CPA kwa maana hawa jamaa wa CPA yaani NBAA (Bodi ya uhasibu) na wao sometime huwa wanafeli, maaana mitihani haitabiriki sometime haina uelekeo ( watu wanafeli mitihani mirahisi na kufaulu migumu) basi tu kwa kuwa hawana mtu wa kuwadhibiti unakomaa tu mpaka bahati ikuangukie
ACCA iko very classified, consistent to the sykllubs na pia iko fair kama umesoma vizuri hasa baada ya kuwa umemaliza masters chance ya kuondoA inakuwa kubwa ukijumlisha na work experience unakuwa na chance nzuri ya kujenga hoja.
SemA hii wengi wanaoisoma hapa bongo ni wahindi na kikubwa ni gharama unalipa kwa dola karibia mara 3 ya gharama ya CPA. lakini pia naona huwa wabogno wanajinyanyapaa kusoma na wahindi
CPA
certified public accountant (CPA) nayo in equivalent na ACCA ingawa ACCA inatolewa na UK ingawa review class zake zipo hapa bongo achA zamani ilikuwa labda uenda zambia au kenya au kwingineko ili kufanya hizo pepa
CPA ni hapa hapa bongo na unakomaa ila kwakweli jamaa hawajatulia kupita ni bahati maana huwa wanakamata unakuta kituo fulani cha review class labda kimesajili watu mia mbili wamekula wote sasa hapo na ukipima msuli ulikuwa ni wa kufa na waalimu wanapita mule mule lakini wapi
kama una kauwezo ukimaliza hiyo taaluma yako, piga Kazi kidogo, piga MBA then ukipata muda na peace of mind piga ACCA itakuchukua kama miaka mnne maximum unaitoa. habari za kukosa kazi zinakuwa hadithi.
mi nikiona management inaningilia sana kwenye kazi zangu na chuki za kijinga za wabongo na kupenda kwao hela za wizi unakuta manager anataka mpige cha juu, halafu usipoonyesha ushirikiano anaona kama unakula mwenyewe, mwisho wa siku uadui chuki, kusingiziwa unakwamisha program...aah mi napigaga chini tu overnight wala sijutagi. hakuna peace of mind zaidi ya kama unajua ulicholipwa ni kutokana na kazi ya mikono yako. kwa nini uwe guilty ndani ya nafsi? halafu mi huwa sijui maximum point ambapo mtu akifika haibi siijui, kwani utakuwa jamaa anatoka na M6 anafoji risiti ya elfu ishirini.. funny
Siyo kama inategemea uko kitengo gani bwana Paul Kitereja?
bbf ni CPBAsante sana mkuu,ila Hizi ACCA na CPA,kama zinahusu sana uhasibu vipi Banking and finance?
ukisoma CPB au hata bachelor degree of banking unaewza kuwa auditor?