Naomba ushauri kuhusu aina za PC

Pool Table

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
1,678
2,882
Wakuu nahitaji pc ila mm sio mzoefu sana wa pc naomba kwa wajuvi mpite hapa mnipe ushauri aina gani nzuri.

Bajeti: 500k
Ram: 8Gb
Core: i5
Iwe na graphic card
Hivo tu ndo navofahamu kwenye pc naomba ushauri wenu kuhusu makampuni, aina pia na specifications zingine.
 
Kwa bajeti yako itakua ngumu sana maana graphic card peke yake itaondoka na zaidi ya hiyo 500k.kikubwa ungesema unaitaji kwa kazi gani upate ushauri zaidi ngoja waje wadau wakupe muongozo zaidi
 
Ya kusomea ila iwe na uwezo wa ku access AutoCAD nahsi nilitak kusema GPU kama sjakosea
 
Wakuu nahitaji pc ila mm sio mzoefu sana wa pc naomba kwa wajuvi mpite hapa mnipe ushauri aina gani nzuri.

Bajeti: 500k
Ram: 8Gb
Core: i5
Iwe na graphic card
Hivo tu ndo navofahamu kwenye pc naomba ushauri wenu kuhusu makampuni, aina pia na specifications zingine.
Weka namba yako
 
Back
Top Bottom