Naomba ushauri kuhusu agizo/amri hii

Blue Iron

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
497
301
Kwenu Wanasheria/ wasomi.

Naomba uelewa wa kisheria kuhusu amri ya waziri Mwigulu alivyomuagiza IGP amkamate mtu aliyemtolea bastola Mhe. Nape.
1. Je agizo hilo ni amri halali?
2.Je IGP asipotekeleza amri hiyo anastahili kuwajibishwa?
3.Je ni mamlaka/chombo kipi kitakacho muwajibisha IGP?
 
Back
Top Bottom