Naomba ushauri katika hili

immasakha

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
489
281
Wadau hebu nipeni ushauri nisije nikabugi step
Nimemaliza ordinary diploma ya information technology nw ninataka niombe degree na ninategemea kubadilisha course so munanishauri ipi itakua bora zaid ktk soko la ajira
 
Back
Top Bottom