Khaa!! Huyo labda kupiga ndiyo inamuongezea stim za kula mzigo. Atakuwa na vichembechembe vya familia ya Drosophila melanogaster ambao dume lazima ampige jike ndiyo mzigo uliwe. Solution yake ndogo sana tafuta gloves za mabondia na punching bag basi ila tu ukumbuke calendarAnanipiga na mzigo anakula kama hivi sasa matokeo hayooo wakati tumeshatengana
Khaa!! Huyo labda kupiga ndiyo inamuongezea stim za kula mzigo. Atakuwa na vichembechembe vya familia ya Drosophila melanogaster ambao dume lazima ampige jike ndiyo mzigo uliwe. Solution yake ndogo sana tafuta gloves za mabondia na punching bag basi ila tu ukumbuke calendar
Ananipiga na mzigo anakula kama hivi sasa matokeo hayooo wakati tumeshatengana
Hebu funguka usaidiwe, anapokupiga huwa unakuwa umefanya kitu gani anachokitumia kama kisingizio/sababu? Mtu hawezi kuanza kukupiga hivi hivi tu, kuna chanzo.
Kuna Mshikaj Wangu, Akilewa Huwa Na Tabia Hii...Juzi Juzi Tuu Hapa Alinirukia Kichwa Nikamkwepa Hiyo Ni Tumekutana Tuu Hiiv.....Yy Akilewa Anayo Hii Tabia. Hii Utasema Ni Pombe, Ila Fahamu Kuna Watu Wana Tabia Za Ajabu Mimi Sishangai.
Teh enzi tunasoma kuna jamaa nae alikua hivo
anapenda mitoko na washkaji ila akilewa lazma apigane yani ni lazma ha ha ha baada ya kulewa kila mtu anashika njia yake
afu asubuhi na mapema anawahi kuja kuomba msamaha
Kuna Mshikaj Wangu, Akilewa Huwa Na Tabia Hii...Juzi Juzi Tuu Hapa Alinirukia Kichwa Nikamkwepa Hiyo Ni Tumekutana Tuu Hiiv.....Yy Akilewa Anayo Hii Tabia. Hii Utasema Ni Pombe, Ila Fahamu Kuna Watu Wana Tabia Za Ajabu Mimi Sishangai.
Duh....hivi hata huko kudinyana kunanogaje sasa ilhai mnakuwa mko kwenye hali ya kivita?
Ndoa zina mambo hizi.....
Duh....hivi hata huko kudinyana kunanogaje sasa ilhai mnakuwa mko kwenye hali ya kivita?
Ndoa zina mambo hizi.....
Mr Richard Mugizi we jaribu tuu, tena na ile mihasira mwili unakuwa wa motoooo, yani utatamani mpaka upigane ndo mfahamiane...