Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
achana nae huyo hakupendi
Pole dada hawa wanaume wanatupa wkt mgumu bure,km unakipato chako cha uhakika na unaona unaweza kuendesha maisha yk vzr basi zaa huyu mtoto umlee mwenyewe kumbuka atakuja kukusaidia ww mwenyewe hapo baadae,huyo shetani mpotezee,maisha gan ya kupigana bl sbb asije akakutia kilema cha maisha bure.
Kichapo bila sababu yoyote?
Story ya upande mmoja
Ananipiga na mzigo anakula kama hivi sasa matokeo hayooo wakati tumeshatengana
Always Uwa Nashaur Wanawake Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa, Hakikisha Angalau Unao Uwezo Binafs W Kuendesha Maisha Pasipo Mtegmea Mwanaume Moja Kwa Moja, Matokeo Yake Uwa Kma Haya Mwanamke Ujikuta Mtumwa Ndan Ya Nyumba Mojawapo Ya Sabbu Ni Kutokua Na Uwezo Binafsi. Fanyeni Hayo Ya Msingi Hili Mwisho Wa Siku Msije Kuahibika Kma Hivi, Unadhan Kma Mwanamke Anakua Na Uwezo Wake Binafsi Angewaza Hayo?? Nan Anaependa Mateso?? Hata Kma Ni Upendo Sio Uwe Mtumwa Na Mateso Juu...Hapo Unakusnya Vyako Unachomoka Kimpango Wako Sema Inakuaga Ngumu Coz Unakuta Mwanamke Anamtegmea Mwanaume Kwa Kila Kitu.
Halafu uzuri simtegemei kwa lolote yeye anauza sokoni ni muajiriwa wa serikali nimesoma mwaka huu ndo nagraduate degree ya pili so simtegemei labda ndo maana anakazana kunipiga.
Halafu uzuri simtegemei kwa lolote yeye anauza sokoni ni muajiriwa wa serikali nimesoma mwaka huu ndo nagraduate degree ya pili so simtegemei labda ndo maana anakazana kunipiga.
Kwa Mjibu Wa Mada Yako Huyo Jaa Hakuwa Hivyo Toka Mwanzo Kabadilika Tu Hivi Kalibuni, Mimi Naami Kuna Kitu Umekifanya Kinachompa Hasira Kila Anapokuona Kama Sivyo Basi Amelogwa Nakushauli Hiyo Mimba Usitoe Kwanza Futa Kabisa Hayo Mawazo Mjulishe Mwenzio Muendelee Kulea Mimba Huku Ukiwa Kwenu Na Ninaamini Mtarudiana Tu Hata Ungeapa Kwa Miungu Wote Unaowajua Ipo Siku Mtaludiana
Sema ukweli, nadhani wakati ukisoma ulichepuka akakunasa au kauli zako kwake ni hatari. Kila wakati najaribu kuwahusia akinadada kabla ya kuolewa waangalia status za wanaume hao. Kama unamzidi kisomo, inferiority complex itawafanya ndoa iwe ngumu na mwisho wake ni kuachana. Ukimzidi mwanaume umri, hii nayo shida hasa ikifika saa 9 hata kabla ya saa 12 jioni.Halafu uzuri simtegemei kwa lolote yeye anauza sokoni ni muajiriwa wa serikali nimesoma mwaka huu ndo nagraduate degree ya pili so simtegemei labda ndo maana anakazana kunipiga.