Naomba ushauri juu ya huyu Ex-girlfriend wangu

Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayey
kwan wewe unataka aje? kua mkwel tu wa nafsi
 
Sasa unadhani mapenzi bila msimamo utayaweza? Haiwezekani una mpenzi mpya na bado unamtaka wa zamani.

Unadhani ukienda kumpokea na ikatokea mpenzi wako mpya akajua, nini kitafuata? Be gentleman na ujiamini. Wanaume wamekuwa bidhaa adimu sana kwa sasa, usijirahisishe.

Kama shida ni kupokewa, mlipe dereva bajaji unayemfahamu, mpe namba ya huyo dada, mwambie wawasiliane ampokee Ubungo na kumpeleka kwao.

Kama na hilo utashindwa basi usuendelee kuomba ushauri hapa karudiane nae tu bro.
Hpo nimekuelewa
 
Kama wewe ndio ulikosa uaminifu wakati mpo naye, nenda, ila kama ni yeye alikosa uaminifu bora utulie na mpenzi wako mpya,

Alafu unajua ndio maana ukimwi unatumaliza jamani maana eti unajua kabisa kwamba mpenzi wako mumeachana kwa sababi yakukosa uaminifu alafu leo tena mna plan kuwa pamoja tena,

Ila kampokee maana bado hujajua dhumuni lake, kwani pengine siokwamba anataka mrudiane bali nikwamba anataka tu umsindikize sehemu anauo kwenda yeye
 
kichaa ww mwanaume jambo dg hivo linakushinda mahusiano utayaweza?embu mwambie aondoe upuuzi wake au ndo kakuona ww zezeta wa sikuzote
 
Kama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu.

Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na hatukutafutana Tena hakuna aliyempigia mwenzio wala kumtumia meseji for 8 months. Na mimi nishapata mpenzi mwingine, cha ajabu leo asubuhi KANIPIGIA SIMU NIKAMUULIZA WEW NAN AKANITAJIA JINA NA KUNAMBIA KESHO KUTWA NIKAMPOKEEE UBUNGO.

Nikashindw kumjibu papo hapo maan bado niko njia panda sielew if anadhamiria jambo zuri au baya kwangu nikaamua niingie humu kuomba ushaur NIENDE AU NISIENDE??
usiende mana inaonekana humtaki ,sasa ni pm namba yake ili awe my new girl friend though kwako Ex-g
 
Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayey
Kwani ye kasema unampokea afu unampeleka kwako au unampokea unampeleka kwao/kwa ndugu zake
 
kichaa ww mwanaume jambo dg hivo linakushinda mahusiano utayaweza?embu mwambie aondoe upuuzi wake au ndo kakuona ww zezeta wa sikuzote
Moyo wa mtu kichaka! Ukute yuko njia panda coz bado anampenda mkuu huwezi kumwambia x wake mpumbavu mwenyewe anamchukuliaje
 
Hhhmm msaad unawez kumpa mtu ambaye mliachana?? Msaad wenyew hadi tuonane!! Kama anahitaji Msaad si angesem nimtumie pesa
Kwani mkiachana mnakuwa kama paka na panya? Eti kwamba huwezi mpa msaada x wako? Mambo ya kizamani
 
samahan lakini!.ww ni mwanaume kamili kweli? km ndiyo.umri wako haujafikia.kuwa na mwenza! kitu.kidoogo tu jf! khaaa...KAMPOKEEE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom