Naomba ushauri juu ya huyu Ex-girlfriend wangu

Sasa wew ni mnafiki tena ni mzandiki sijajua wew mwanamke au mwanaume ila wew hujielewi tayari unampenzi na isitoshe anakupenda na wew unampenda kinachokuweka njia panda kipi? Kama mapenzi wew na yeye si yalishakwisha sasa wew unakuwaje njia panda acha hizoooooo tulia na mpenz wako
mamshangaa
 
Ewalaaaaa sasa mwambie ashukie hapo Ubungo karibu na jengo la tanesco nitakuja mpokea
 
Moyo wa mtu kichaka! Ukute yuko njia panda coz bado anampenda mkuu huwezi kumwambia x wake ******** mwenyewe anamchukuliaje
moyo kichaka au anamuendekeza tu type hii ya wanaume ni ile ambyo atakupata mwanamke kazi kwahy uwaga hawana maamuzi...na hamna kitu kibaya kama mwanaume kua out of options....yaani unakua type ya mwisho kbs kwa wanawake anaenda huko anatimbwa timbwa akimaliza anakuja kwa zezeta lake lkn kupata faraja akijiona kiconfidence kimerud rudi anaondoka tena hivohivo
 
Jitahidi kujieleza ueleweke. Mliachana au wewe ulimwacha? Kama mmeachana mwambie akutafute siku nyingine maana kwa wakati huu huna muda wa kukutana nae. Una majukumu meeengi ya uhakiki wa nyeti kazini.

Majukumu ya uhakiki wa nini mkuu!!?
 
Kesho sitakuwa na Kazi yoyote Acha tu nikampokee Nipe Namba mkuu... We pumzika tu asikuchoshe Mi nitavolunteer kwa hili
 
Kwahyo bado unampenda? Kama uliamua kumove on sidhani kama ungekuja utake ushauri ungempa jibu lake kubwa apo apo kwenye cm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom