Naomba ushauri juu ya huyu Ex-girlfriend wangu

Anadai nikampokee atafika jion.. Sas sijui anatak tu nimpe lift tu nimpelek kwao au anajambo. Hadi tunaachana alikua dar sijui huko mkoan alifata nin
Basi kama kweli mliachana na wewe umeshapata mpenzi mwingine, kama unamheshimu mpenzi wako wa sasa, basi nenda nae Ubungo kumpokea huyo mpenzi wako wa zamani.

Mkishaonana baada ya kuteremka kwenye basi, mtambulishe kwa shemeji yake wa sasa ili iwe more friendly badala ya kuwa sexy.
 
Sasa wew ni mnafiki tena ni mzandiki sijajua wew mwanamke au mwanaume ila wew hujielewi tayari unampenzi na isitoshe anakupenda na wew unampenda kinachokuweka njia panda kipi? Kama mapenzi wew na yeye si yalishakwisha sasa wew unakuwaje njia panda acha hizoooooo tulia na mpenz wako
Hajanambia anatak tuwe wapenz Tena unafik wang nn ww.. Toa jazba zako
 
Jitahidi kujieleza ueleweke. Mliachana au wewe ulimwacha? Kama mmeachana mwambie akutafute siku nyingine maana kwa wakati huu huna muda wa kukutana nae. Una majukumu meeengi ya uhakiki wa nyeti kazini.
Asante
 
Basi kama kweli mliachana na wewe umeshapata mpenzi mwingine, kama unamheshimu mpenzi wako wa sasa, basi nenda nae Ubungo kumpokea huyo mpenzi wako wa zamani.

Mkishaonana baada ya kuteremka kwenye basi, mtambulishe kwa shemeji yake wa sasa ili iwe more friendly badala ya kuwa sexy.
Hio nzur aiseee nimeipend ila yataka moyo Sana
 
Hhhmm msaad unawez kumpa mtu ambaye mliachana?? Msaad wenyew hadi tuonane!! Kama anahitaji Msaad si angesem nimtumie pesa
Ok Poa mkuu kama kuna ka uzito frani hv we nitumie nambar yake mi nikampokee:):):):)
 
Kama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu.

Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na hatukutafutana Tena hakuna aliyempigia mwenzio wala kumtumia meseji for 8 months. Na mimi nishapata mpenzi mwingine, cha ajabu leo asubuhi KANIPIGIA SIMU NIKAMUULIZA WEW NAN AKANITAJIA JINA NA KUNAMBIA KESHO KUTWA NIKAMPOKEEE UBUNGO.

Nikashindw kumjibu papo hapo maan bado niko njia panda sielew if anadhamiria jambo zuri au baya kwangu nikaamua niingie humu kuomba ushaur NIENDE AU NISIENDE??
yaani bhana... potezea kabixaaa, msahau kama mwanzo , usiendee mpokea. atajikuta xana na wewe utaonekana zoba.
 
Hio nzur aiseee nimeipend ila yataka moyo Sana
Sasa unadhani mapenzi bila msimamo utayaweza? Haiwezekani una mpenzi mpya na bado unamtaka wa zamani.

Unadhani ukienda kumpokea na ikatokea mpenzi wako mpya akajua, nini kitafuata? Be gentleman na ujiamini. Wanaume wamekuwa bidhaa adimu sana kwa sasa, usijirahisishe.

Kama shida ni kupokewa, mlipe dereva bajaji unayemfahamu, mpe namba ya huyo dada, mwambie wawasiliane ampokee Ubungo na kumpeleka kwao.

Kama na hilo utashindwa basi usuendelee kuomba ushauri hapa karudiane nae tu bro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom