naomba ushauri juu ya haya...

naomba ushauri juu ya haya...

Ugoro? na mate anatema ndani sio? chafya je? ha ha ha!

usikute huyo hawara ake yeye anamuita mmewe ni teja hafu mnahangaika kutoa coments, ugoro+pombe+n.k=teja
 
kwanza unadai kwenu hajatoa chochote wewe si umejipeleka mwenyewe bure? uliitwa ? acha uipate fresh wewe kutongozwa siku mbili tatu unahamia? tena unasema unaishi nae kama mumeo ,ndo maana anakununia
mimi hata nigonge 50 siamii kwa mtu kihuni asilani ,acha iwe mbaya
kwa nini nikose mbingu kisa dushe?
atakula hata bange na kinyesi hapo?
tulizana mtoto wa kike

mmmhhh!!!!
 
Ulianzaje kuishi naye? Au uliamka usiku mmoja tu ukajikuta unaishi naye?
Je ameanza hizo tabia baaya ya wewe kuanza kuishi naye?

Sasa unashangaa nini kuwa hajatoa kitu kwenu wakati ulikubali kuishi naye bila kutoa kitu? Au ulikuwa unamtega?

Majibu ya maswali hapo juu yatakusaidia imekuwaje ukawa kwenye situation hiyo? na uko tayari kuendelea nayo?
Na je mwenzio yuko tayari kutoa ushirikiano kutatua linalokusumbua? Na umeongea naye?
 
ahivi dada hii tabia ya mabinti kuhamia kwa wapenzi wao inasababishwa na nini?
Ni kupanic au?
Maana ndoa ni kitu simpe tu kufunga sio lazima sherehe kama mtu anakupenda kweli kukuoa kwa utaratibu ni jambo gumu kiivo kweli hadi muishi miaka mkizini? Si bora uzini kidogo mtaani tu teh! Unakubali mtu anakutumia daily anakuchakaza akuuuuuuuuu!

Kuna wale wa uelewa mdogo na wazazi wasio strict; na wengine ni uzungu pia wazazi kutokuwa strict. Unaishi kama mke na mume bila commitment, ingawa ina positive na negative. Najua negative unazijua so lemme try to think of at least one positive thing.
Ni rahisi sana kwa mtu kuwa mtu mwingine kwa masaa 3 hadi 6; lkn si rahisi kwa mtu kujifanya mtu mwingine kwa 24 hours of 7 days kwa miaka say 2. So kwa mdada kama mkaka ana tabia chafu au mbaya ambazo sio tu hazirekebishiki (na kumbuka sio kazi yako kumbadilisha mtu mwingine) lakini pia hazivumiliki; then unaweza kuondoka bila madhara makubwa mf kuwa excommunicated kwa wakatoliki wanajua. Si vyema kufikiria siku zote kuwa mwanamke anatumiwa,maana mpaka kutumika ameruhusu kutumika na who knows huenda naye anamtumia mwenzake.

So kwa case ya mleta mada; she has everything kwenye uwezo wake na hana mwingine wa kumlaumu zaidi ya yeye mwenyewe. She cant change the man, kama yeye mwenyewe mwanaume hataki kubadilika au haoni haja wala umuhimu wa kubadilika.
 
anakula ugoro.....? sasa mnakiss aje........? uwiiiiiii......kama vipi tembea mdo mdo......hajakuoa halafu kero ndio hizo......akhaaa.......tafuta mwingine mwenye ustaarabu.........

thankx my dia
 
afadahali umesema na hii tabia siipendi sana na wanaume baadhi yao wanaipenda sana, kama mtu kakukosea si umwambie? kununa si suluhisho
Huo ugoro tu jamani.. Kaaaaa ni mmasai ??

Afu hii tabia ya kununa nuna watu huwa wanaipendea nini???

Nachukia sana hii tabia yani sanaaaa.. Kama umekwazika au una jambo kwanini usiongeee?? Gubu gubu afu ukishanuna ndo umesolve??

Wenye nayo jirekebisheni kwa kweli,.. Haijengi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
anakula ugoro.....? sasa mnakiss aje........? uwiiiiiii......kama vipi tembea mdo mdo......hajakuoa halafu kero ndio hizo......akhaaa.......tafuta mwingine mwenye ustaarabu.........
Hata sisi watafuna ugoro tunahitaji kupendwa, tuvumiliane hivyo hivyo.... daughter umesikia ehe!.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom