Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah.
Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba wenye uzoefu katika hili wanipe abc
1. Vifaa gani muhimu vya kuanzia
2. Malighafi na bei zake
3. Soko
4. Changamoto
5. Mengineyo...