Naomba ushauri juu ya biashara ya cookies/ biskuti homemade

noony

Member
Apr 6, 2018
65
52
Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah.

Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba wenye uzoefu katika hili wanipe abc
1. Vifaa gani muhimu vya kuanzia
2. Malighafi na bei zake
3. Soko
4. Changamoto
5. Mengineyo...
 
-Jiko, masufuria kama huna oven. -Soko inategemea na eneo au unaweza kuwa unauza online pia.
 
Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah.

Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba wenye uzoefu katika hili wanipe abc
1. Vifaa gani muhimu vya kuanzia
2. Malighafi na bei zake
3. Soko
4. Changamoto
5. Mengineyo...
Nicheki na mim nimeanza kutengeneza tupeane mawazo 0625044215
 
Hizo biskuit ni tamu sana kuliko hata za viwamdani, nimeshangaa kwa nini hazifungwi kwenye packets zaidi ya kuuzwa vibandani na madukani
Badala ya 1 jwa mia 200 ungeuza 3 kwa 500 utateka soko.
 
Back
Top Bottom