Naomba ushauri juu ya ajira za Jeshi la Magereza

Tofautisha JWTZ na Jela. Mfano ingekuwa inaruhusiwa kuhama idara kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, magereza labda angebakia CGP pekeyake na wafungwa. Wote wangehamia tiss, tpdf, immigration, fire na police. Vikosini vijana wengi huwa wana doji magereza wakijakufanya usahili. Wengi wanasubiria JW. Tofauti ya askari jela na mfungwa ni uniform tuu na mshahara.
Siku hizi mishahara yao wote sawa
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Tofautisha JWTZ na Jela. Mfano ingekuwa inaruhusiwa kuhama idara kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, magereza labda angebakia CGP pekeyake na wafungwa. Wote wangehamia tiss, tpdf, immigration, fire na police. Vikosini vijana wengi huwa wana doji magereza wakijakufanya usahili. Wengi wanasubiria JW. Tofauti ya askari jela na mfungwa ni uniform tuu na mshahara.
 
Acha mambo yako ya ajabu HV kweli mshahara wa JW ulinganishd na jera? Yani kwanA JW wapo wizara ya ulinzi jera wapo mambo ya ndani
Nasema wa wazira ya ndani hao jwtz hawapo home affairs

Polisi
Fire
Magereza
Migration

Wote mishahara sawa wanazidiana marupurupu
 
Back
Top Bottom