Naomba ushauri jinsi ya uzalishaji wa unga lishe

Jovith michaeli

New Member
Feb 14, 2019
1
20
Habari za jioni kwa jina naitwa jovith michael mmoja mwanzilishi wa kampuni ya INAFRIKILIMO inayo jiusisha na uzalishaji wa unga wa lishe. naomba kusaid ushauri mdogo juu ya uzalishaji wa unga wa nafaka (LISHE) yaani eneo la uzalishaji kunatakiwa kuwe na nini?,wazalishaji wanaatakiwa kuvaa vitu gani, Pia kama kuna mtu yeyote namfahamu mtaalamu wa lishe (NUTRITIONIST) hii ndio logo ya kampuni.
IMG-20181225-WA0003.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom