Naomba ushauri jamani nivumilie au nisepe?

mchukue tu,ikilala moja kwa moja siye mafisi tupo hatuishi duniani
 
jamani kwani ndoa ni kitu hicho tu cha degree?mimi bora wangu awe na tabia nzuri tu,mambo ya vipima joto hivyo ni majaaliwa
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mfanyie manjonjo ikibidi mlambe koni km kitu kitaendelea kuwa goigoi tafuta mbadala.
 
Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo
kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado
mwake mwake sasa naogopa leo hivi akishanizoea nikiwa mke siitakua pilipili mti gani wakuinamaina.

Mungu hana upendeleo,pia hawezi kukupa vitu vyote.Mvumilie mwenzio huku mkielekeza ataelewa.Usimuhukumu maana nawe unamapungufu kama binadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom