Mitandao ya kijamii inawafanya watu wawe wehu. Umeshindwa kabisa kuwauliza ndugu na jamaa akiwemo mhusika ukaona mahali sahihi pa kupata mawazo hayo ni hapa mjengoni.
FuelOil mkuu?
Mtu anayekufahamu ni rahisi kukupa realistic ushauri kuliko mtu hasiyekufahamuKana kwamba hawa wanaotoa ushauri hapa mtandaoni ni maroboti hawatoki kwenye jamii
Imagine anakufahamu halafu hajui lakini kuna anaejua na hakufahamu, akikupa ushauri mzuri unaukataa kwa sababu hakufahamu?Mtu anayekufahamu ni rahisi kukupa realistic ushauri kuliko mtu hasiyekufahamu
Sio kila unaemjua anakutakia mema, kunae watu wana wivu kumwambia habari njema kama hizi lazima akuingize shimoni!Mtu anayekufahamu ni rahisi kukupa realistic ushauri kuliko mtu hasiyekufahamu
Sitaukataa mkuuImagine anakufahamu halafu hajui lakini kuna anaejua na hakufahamu, akikupa ushauri mzuri unaukataa kwa sababu hakufahamu?
Habari mkuu, upo? Huonekani ktk uzi wa ndotoZinaweza kuwa na cc sawa lakini kila moja ikawa na vitu vingi kuliko nyingine ambavyo vinapelekea kutofautiana ktk oil consumption mfano ac na electronic device za ndani.
Nzuri ndg yangu kwema hukoHabari mkuu, upo? Huonekani ktk uzi wa ndoto
Kwema kabisa, usitupotezee ndugu yangu tunahitaji Msaada wako.Nzuri ndg yangu kwema huko
Uzi wenyewe hadi nilishaupotea siuoniKwema kabisa, usitupotezee ndugu yangu tunahitaji Msaada wako.
Huna jeuri ya kumnunulia bi mkubwa gari sema kapokea pensheni yake anataka kununua gariNi kweli mkuu, lakin yeye kama yeye ameniachia nimchagulie yoyote ntakayoona inafaa.
Unapozungumzia premio unazungumzia premio ipi??.maana kuna aina kama 5 hivi za premio
Mkuu nipo sema mambo yamekuwa mengi kidogo mpaka time za kuchungulia jf zinakosekana kabisaa aisee.. tupo pamojaMkuu kwema? Adim sana.
Kama huna cha kuchangia pita kimya.....Mitandao ya kijamii inawafanya watu wawe wehu. Umeshindwa kabisa kuwauliza ndugu na jamaa akiwemo mhusika ukaona mahali sahihi pa kupata mawazo hayo ni hapa mjengoni.
Yaani nimekumbuka lile swali la Zamani la kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito.
CC 1498 na CC 1498 ipi inakunywa Sana mafuta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah... kuna maneno ya kuwa body weight ya premio inaweza ikasababisha kunywa sana kuliko ya Ist... japokuwa zote zina engine ya 1NZ.