Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

Nakusihi usiuze utu wako cha kufanya weka kumbukumbu ya meseji na vitisho vyake itakusaidia LA ziada muombe Mungu yeye ndo kila kitu ktk maisha yetu
 
Muhubiri 7:16 Inasema, usiwe mwenye kupenda haki kupitiliza. Kwa nini kujiangamiza mwenyewe?
Be not overly righteous, and do not make yourself too wise. Why should you destroy yourself?
Ukiweza kuuelewa huu mstari nadhani utajua ni nini cha kufanya.

Mkuu nimeyapitia upya hayo maandiko, sidhani kama nimefikia kiwango hicho
 
Tumia condom mkuu acha utoto alafu ushasema anakalibia kustafu
 
Mpige paipu kisha rekodi huku ukimpiga mashine, akileta kiburi wewe mletee jeuri.
 
Mi ni senior wako kikazi, nipe namba yake inbox tafadhali! Anahitaji huduma muhimu ya kibinadamu huyu! Eti cjui umri, mara kazi, acha ushamba we dogo! Binadamu wote ni sawa, hasa kwa mahitaji ya msingi kwa miili yetu! Duh, hv kinyume cha Kitchen Party kinaitwaje?!!!! Yaani nnavyotweta hapa halafu eti kuna 'vihandsome" vinadeka!
 
Ushauri huu mzuri sana akiufanyia kaz Itapendeza
 
Mzee najiuliza kama anaweza kunifuata mm mgeni pale ofisini, atakuwa amewafuata wangapi kwa umri wake wa 50+

Hiyo ya kujua kapita na wangapi haidhuru maana haina makombo, cha msingi mpige paipu!
 

Ahsante sana mkuu kwa ushauri bora kabisa, nitaufanyia kazi.
 
Hapa kazi tu!, unatetemeka nini kijana fanyanyie kazi hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…