Naomba ushauri, Boom linaisha unconsciously

Naomba ushauri, Boom linaisha unconsciously

Kanuni ya ku-save duniani kote unapaswa usave kabla haujatumia, ukitaka utumie afu kitakachpbaki ndio usave hautakuja kuwa saving maisha yako yote, weka utamaduni wa kutenga saving kabla ya matumizi.
 
Mm baada ya kupewa boom tu nilianza kuuza vitunguu mzee japo kuna kipind nilkuwa doja kwa vipind lakini nilitusua fresh tu mpaka namaliza five years Nina pesa ming tu vijana was Leo bata nying kushinda uwezo wao
 
Haujapotea kk ukweli n huu ,boom n laki tano ktk hyo utoe hela ya chakula miez miwl ,kodi bado nyumbn hawajaomba chchte bdo book and stationary Hakka haitoshi kwa wengi wanaobahatka kubana n wale wana vipato vingine pia wanapewa hela nymbn au wana vyanzo vingine worry not tafta njia ya kukuza kiasi Fulani cha boom hpo utaweza kutunza boom kama sivyo utasubili sana ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mie ni kubana matumizi kwakawaida kwasiku unaweza tumia hata 5000/= kama huna plan, ila kama Mimi nadhamilia kubana nakula 1500/= kwasiku inaama milo miwili kwakawaida sijui vyuo vyengine ila kwa nachosoma mimi wanafunzi 70% wanakula milo miwili so mchana 1000/= usiku 500/= | njia nyengine uhakikishe unafanya njia mbadala ya kuingiza kipato kama aliyesema jamaa hapo juu ndio nzuri especially kwa first year au hata kuwa wakala, kwamie nilikuwa nafanya udalali tu.

So kubana matumizi na kipato mbadala njia hizi ziliniwezesha katika 1M kutumia 200K tu, ila kikubwa zaidi kilochonipa motisha nikukosa meri ya kuludia nyuma maana nilikuwa nishachoma meri, nilivyopata pesa tu nikaitupia sehemu na kubaki na pesa kodogo so ilikuwa nipende au nisipende lazima nibane hapo.

Mwisho
Hapo nimekunoti eti u-save pesa hadi unamaliza hicho kitu sahau kabisa u-save pesa kwamiaka mitatu ilo aliwezekani mzee pesa utatumia tu maana muda wrote pesa zinamatumizi mzee pia ni maumivu yasioolezeka hayo mfano unajinyima kula vizuri hata sayona embe hugusi then kwenye account una pesa kibao kitu ambacho hata Mimi na exposure yangu ya pesa siwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] thank you, noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujapotea kk ukweli n huu ,boom n laki tano ktk hyo utoe hela ya chakula miez miwl ,kodi bado nyumbn hawajaomba chchte bdo book and stationary Hakka haitoshi kwa wengi wanaobahatka kubana n wale wana vipato vingine pia wanapewa hela nymbn au wana vyanzo vingine worry not tafta njia ya kukuza kiasi Fulani cha boom hpo utaweza kutunza boom kama sivyo utasubili sana ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeanza kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom