Fyodor Dostoevsky
Senior Member
- Mar 23, 2022
- 121
- 85
- Thread starter
-
- #81
Thanks for your good comment.Usipotoshwe ovyo ovyo na wewe sasa. Tatzo F ya Maths O level. Ila anaeza akapata kwa baadhi ya Diploma za Afya maana kwa baadhi ya Course Maths ni addional advantage siyo Lazma.
hahhaahhSijui kama ilikua zamani ila kwakwel kwa Guidbook ya Mwaka jana na Mwaka huu bila D mbili husomi dgree hata ya Uhuni, Labda upigwe badae utumbuliwe na TCU
umeongea vema sana .Kumbe Manzi, mbona unataka kumtesa hivyo atafute Chuo tu under NACTE apige nursing basi hiyo Bachellor ataitafutaga Mwenyewe.
Sema tumepumbazwa na grading system ya bongo ila si kweli kwamba anayefeli hana akili ni bongo laza ,hapana ,Ndio maana sijamlaumu kwa matokeo may be maswali hayakua upande wake maana hakuna anayesoma afeli.all in all universty haikua her destiny huenda destiny yake iko sehemu nyingine.Yeah ulipofikia ni sahih lakini usimlaum kwan hakuamin kwamba hawez. Ni fighter singependeza kusoma arts kisa uoga. Bwana alitoa bwana Katwaa.
Aiseeee .Mwaka huu mitihani ilikuwa rais sana vilaza tu ndio walipata two
Bila physics kozi za afya sahau.sasa mkuu vigezo je? make yeye hana phys olevel ? na ada yake ikoje?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Tatizo afya hana physics labda pharmacyHata kama angekuwa na D mbili ila mimi naona bora akasome diploma ya Afya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aende diploma, cha kusoma huko muulize yeye anataka nini , aende hata Tengeru pale asomee mifugo
Mfungulie kijiwe cha gahawa kama utakuwa na pesa mkuuDah hyo out ikoje au aende DIPLOMA .akapige education?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Kwani Clinical Officers wanalipwa hela ndogoYaani watu mmekalilishwa, sasa hapo akiajiriwa analipwa sh. ngapi kwa mweziππππππππ.
Analipwa sh ngapi kwa mwezi rafikiπππππππππKwani Clinical Officers wanalipwa hela ndogo
Nadhani hata Benjamin Mkapa Hospital,wataanza kutoa mwezi wa tisa.Huu uzi uishie hapa! Nakazia akasome radiology diploma inatolewa vyuo kama muhimbili, bugando!
Sijakuelewa mkuu.diploma ya meno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna familia zimerogwa
Hujanielewa wapi, mtu mwenye akili timamu unasomaje kozi ya menoSijakuelewa mkuu.
Kwani dhambi. Watu wako mlengo wa kuajiriwa.Hujanielewa wapi, mtu mwenye akili timamu unasomaje kozi ya meno
Tena hyo Pharmacy ndo siku hizi wamechomekea msumari Mkuu wanataka D 5 kabisa ikiwemo na ya Language bila kusahau zile nne za sayans