Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Fyodor Dostoevsky

Senior Member
Joined
Mar 23, 2022
Posts
121
Reaction score
85
Ndugu samahani, najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.

GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.

Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.

NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?
 
Ngoja wamalize kula chakula cha mchana
 
kaka hapo chuo kikuu apana aendi ana cutpoint ya 4 hapo kaka angalau angekua na D 2 ZA MASOMO YA COMBI YAKE ondoa hiyo ya gs ahiesabiki
 
asipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndiyo
fani zenye ajira na kujiajiri pia.
 
asipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndia fani zenye ajira na kujiajiri pia.
Yaani watu mmekalilishwa, sasa hapo akiajiriwa analipwa sh. ngapi kwa mwezi😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG...
Najua wengi watakushauri mara akosemee unesi mara utabibu.

Chukua ushauri huu, mpeleke akasomee uhasibu atafika mbali zaidi kielimu na kimaisha kwa muda mfupi.

Nikiwa namaana kwamba hizo kozi nyingine za wito, sijui atakua analipwa sh. ngapi😂😂😂😂
 
asipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndia fani zenye ajira na kujiajiri pia.
mchawi phys the rest C

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom