Naomba ushauri: Ameniambia "Baba wa nini?"

Siku ukipata nae watoto nae atawafundisha watoto wenu hivyohivyo kuwa baba wa nini
 
Huyo baba yake mvulana tu aliyekuwa na uume akakimbia majukumu. Mabinti wengi wamepitia hizi changamoto hata watoto wakiume.
 
Mabinti ambao wamelelewa pasi uwepo wa baba huwa wakaidi sana kwa mwanaume, kuwa makini...
Wacha tu wawe wakaidi baba alikuwa na vitoto vya miaka 18 hakuwa na muda kabisa🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…