Naomba unlocking code zamodem aina ya HUAWEI

Naomba unlocking code zamodem aina ya HUAWEI

Kuna ka-programu kanaitwa HUAWEI UNLOCKER kanafanya kazi VIZURI SANA kwenye moderm zote zinazotumia line hata zile za vodaphone.
Inachukua kama dakika 2 au tatu tu ku-unlock. Kama ukishindwa ku-google na kuidownload ni-PM email adress ili nikutumie.

Mimi ninaomba msaada kwa mtu mwenye unlocking code / software ya simu ya Mi-A300 (ile waliyotoa tigo -Tz kwa postpaid).
 
attachment.php

e303 inachakachuka kirahisi tu kaka sema memba wengi wazito kutoa mrejesho.
cha muhimu andika flash code ya modem yako pembeni then unaupgrade ikifika sehemu utatakiwa uingize hizo code mchezo kwishney.
ebu kamata uzi wa Kimox Kimokole hapo chini ujifanyie mwenyewe.....ni 100% unlocked

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/303310-finally-huawei-e303-unlocked-2.html

Yap Mkuu Shaffin Simbamwene afuate ule uzi atafanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Kuna njia nyingine ambayo mimi hapa natumia na haisumbui inapiga kazi bila tatizo, Nimeinstall dashboard ya ZTE MODEM MF 190 hizi ni moderm za airtel. Inafungua vixuri bila tatizo

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Asante super impressor,nimefaanikiwa na sasa natwanga kotekote.long live.
 
Naomba wana JF mnipe unloking code za modem ya HUAWEI , model 1550 IMEI yake ni 352 965 043 440 013.Asante sana.

Je, unataka kufungua yako huawei e1550 Modem? unaweza kutembelea tovuti hii Wickedunlock.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua yako huawei e1550 urahisi. Ili kupata kanuni una kutaja nchi ambayo imefungwa sasa, mtandao wa mtoa huduma na idadi IMEI. Kisha wao kutuma kufungua kanuni kupitia barua pepe.
 
kama ni huawei E173 basi tafuta master unlock code calculator ili ikupe unlock code ndio utumie na kama ni E303 hizi mpya mpaka sasa sijaona aliyefanikiwa akaleta feedback zaidi wanakuambia uiupdate firmware lakini haiwezifanya kitu...

e303 iko very simple ku unlock. ni kwa njia hiyo hiyo ya ku update firm ware, nilifuata maelekezo humuhumu na nikafanikiwa 100%
 
Nami nitumie mkuu
maseled9@gmail.com

Back
Top Bottom