TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 477
- 495
Mkuu habari yako, Hongera sana kwa Biashara zako unazifanya.
Mkuu nimekua nikifanya biashara nyingi sana mfano nilifuga kuku kama 800 nikaangukia pua nimebaki tu na cage mpaka sasa, limelima kwa miaka kama mnne hivi mazao mbalimbali naangukia pua,najaribu kuangallia kitu ambacho nitakifanya mwenyewe muda baada muda wa kazini , muda wa weekeend pia.
Swali langu.
Naweza nikafanya biashara au kazi gani baada ya muda wa kazi na siku za weekend? Mimi ni mkaguzi gvt kazini natoka saa tisa na nusu