ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Kasomee theology,uje uwe nabii.
mawazo mazuri haya, tutayafanyia kazi panapo majaaliwaNenda kasome applied mathematics mkuu... Huko utasoma kuanzia uchumi, mpaka finance ila katika ulimwengu wa mathematics!!
Ukikosa applied kasome pure mathematics!!
and politicsMBA specialize kwenye accounting sababu hii dunia is all about business and money
Soma Msc Mathematics. Itakubeba sana!Habarini wana JF wenzangu...
Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology (EP), Curriculum (CT), Educational Measurement and Evaluation (EP) n.k
Sasa nipo njiapanda sielewi nikasome nini katika Masters degree kati ya Maths au hizo courses zingine za elimu (zipo nyingi unaweza nitajia moja ambayo ungenishauri nikaspecialize).
Naomba ushauri wako nikasomee nini hasa kwakuzingatia ipi inauzika yaani "Marketable" hapo baadae baada yakumaliza hio masters degree.
Na vipi kuhusu chuo ungenishauri nakasome chuo gani, degree yakwanza nimesoma UDSM
Natanguliza shukurani.
Nenda Lancaster University England.Asante sana ndugu kwa ushauri mzuri, vp kuhusu chuo ungenishauri chuo gani hasa
Politicsand politics
yes but politics tutaisoma mtaani. The important things are money, laws, and business management. Mtu bachelor una education, unataka na master uwe na education what for? MBA specialize kwenye accounting sababu hii dunia is all about business and money
Pure mathematics itamchomoa Sasa akisoma hiyo dar atakuja fanya nini wakati Hakuna researchNenda kasome applied mathematics mkuu... Huko utasoma kuanzia uchumi, mpaka finance ila katika ulimwengu wa mathematics!!
Ukikosa applied kasome pure mathematics!!
Njoo Germany elimu bureAsante sana ndugu kwa ushauri mzuri, vp kuhusu chuo ungenishauri chuo gani hasa
Mkuu habar , na mimi nina ishu kama yako nina Bsc ed na nilichukua mathematics naomba ushauri Msc gani ni nzuri bossHabarini wana JF wenzangu...
Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology (EP), Curriculum (CT), Educational Measurement and Evaluation (EP) n.k
Sasa nipo njiapanda sielewi nikasome nini katika Masters degree kati ya Maths au hizo courses zingine za elimu (zipo nyingi unaweza nitajia moja ambayo ungenishauri nikaspecialize).
Naomba ushauri wako nikasomee nini hasa kwakuzingatia ipi inauzika yaani "Marketable" hapo baadae baada yakumaliza hio masters degree.
Na vipi kuhusu chuo ungenishauri nakasome chuo gani, degree yakwanza nimesoma UDSM
Natanguliza shukurani.
Masters bure mkuu?Njoo Germany elimu bure