Naomba unishauri nikasomee nini kwenye Masters degree

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
419
Habarini wana JF wenzangu...

Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology (EP), Curriculum (CT), Educational Measurement and Evaluation (EP) n.k

Sasa nipo njiapanda sielewi nikasome nini katika Masters degree kati ya Maths au hizo courses zingine za elimu (zipo nyingi unaweza nitajia moja ambayo ungenishauri nikaspecialize).

Naomba ushauri wako nikasomee nini hasa kwakuzingatia ipi inauzika yaani "Marketable" hapo baadae baada yakumaliza hio masters degree.

Na vipi kuhusu chuo ungenishauri nakasome chuo gani, degree yakwanza nimesoma UDSM

Natanguliza shukurani.
 
Habarini wana JF wenzangu...

Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology (EP), Curriculum (CT), Educational Measurement and Evaluation (EP) n.k

Sasa nipo njiapanda sielewi nikasome nini katika Masters degree kati ya Maths au hizo courses zingine za elimu (zipo nyingi unaweza nitajia moja ambayo ungenishauri nikaspecialize).

Naomba ushauri wako nikasomee nini hasa kwakuzingatia ipi inauzika yaani "Marketable" hapo baadae baada yakumaliza hio masters degree.

Natanguliza shukurani.
 
Rafiki yangu alisoma batchelor ya mathematics aliomba kazi central bank walimchukua na akafanya mitihani ya accounts. Yuko poa
 
Nenda kasome applied mathematics mkuu... Huko utasoma kuanzia uchumi, mpaka finance ila katika ulimwengu wa mathematics!!

Ukikosa applied kasome pure mathematics!!
 
Asante sana ndugu kwa ushauri mzuri, vp kuhusu chuo ungenishauri chuo gani hasa
 
Kwa maelezo uliyoyatoa inaonyesha ulichukua degree ya education ya BED science.

Sasa kama una mpango wa kuwa mbobez wa masuala ya elimu unaweza kuendelea na masomo ya masters ila kama huna plan hizo nakushauri hizo gharama za kusomea masters uzitumie kufanya uwekezaji ili kukuza uwezo wako kiuchumi.
 
Asante mkuu, vp hpo kwenye Masters ungenishauri nichukue Maths au course zingine za elimu?
 
Kama GPA yako ya undergraduate iko 3.5 and above kasome Masters ya Mathematics utatesa mjini na Duniani, ila kama una Overal GPA ya 2.8 -3.0, kasome Masters of Education General tu ndugu, usipoteze muda kusoma vittu viguuumu wakati elimu yenyewe haikupendi.
 
Boss kabla hujafikiria kozi lazim ufikiri kwa nini unataka kusoma masters na kwa nini ulisoma mathematics.Swala lingine ni malengo yako katika career yako.Unapotaka kusoma masters lengo lawza kuwa mbobezi hata hata kufikia PHD au unaweza kuwa unataka kupanua wigo kitaaluma.Kwa mtu aliyesoma education mathematic unaweza fanya Masters ya Education management au Masters ya Statistics au masters computer programming au MBA unaweza hata amu kusoma pure accountancy.Jambo la muhimu ni kufahamu mpango wangu kitaaluma na career wise.Usisahau kwa level yako ya elimu kama bado unasoma ili upate ajira na mshahara basi wewe bado ni vidudu sana kwa sababu wasomi wa level yako hawapaswis kufikiri hivo
 
Nashukuru mkuu, naomba unisaidie kuwaza juu yakipi nikasomee kati ya "Maths" au "Any of the educational courses"
 
Kusoma bila malengo ni wastage of time & life too..!! Una Bachelor bado hujijui vizuri aiseee...!!
 
Back
Top Bottom