Naomba ukaribisho

Mimi sina kawaida ya kukarihisha wageni ila mimi umenivutia sana karibu Catherine
Unakunywa nni?

ahsante sana kaizer. Utakuwa na ndugu ana jina kama langu. Nipatie kilimanjaro baridi
 
Last edited by a moderator:
Aisee! Ebu gfsonwin mkirimu mgeni, kili baridii! Miki na Asprin tunachinjamo kambuzi kidogo kwa ajili ya choma na supi,

kili amepata Catherine ila anapaswa awe na nidham hakuna kupepesa macho humu ndani ukipita aangalie pembeni siyo mara oooh Kaizer mzuri. mwambie kabisa kuna gaidi linaitwa gfsonwin ni kiboko.

otherwise karibu sana mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Asa Madame B kwa kawaoda mgeni akija si anakaribishws japo kinywaji!? mbona ivo! Lol
 
Last edited by a moderator:
Asa Madame B kwa kawaoda mgeni akija si anakaribishws japo kinywaji!? mbona ivo! Lol

Hamna lolote,mmeona UserName yake imejitosheleza,
ndo mana mnamhara.
Mbona ID nyingine hamjirambi hvo?
Ntacheka sana nije kugundua ni He alieingia kwa ID ya She,
Mtaumbukajeee...!!!
 
Last edited by a moderator:
Hamna lolote,mmeona UserName yake imejitosheleza,
ndo mana mnamhara.
Mbona ID nyingine hamjirambi hvo?
Ntacheka sana nije kugundua ni He alieingia kwa ID ya She,
Mtaumbukajeee...!!!
Mmh Madame B ebu mwache kwanza mgeni apoze koo, ukitaka tuumbuke walaa wenzio yumeshahakikisha kabisa Catherine ni she wa nguvu .....chezeiya? Habari ya weekend?
 
Last edited by a moderator:
Mmh Madame B ebu mwache kwanza mgeni apoze koo, ukitaka tuumbuke walaa wenzio yumeshahakikisha kabisa Catherine ni she wa nguvu .....chezeiya? Habari ya weekend?

Week-end iko pouwa.
Niko hapa Mango Nakula Mma.
Karibu Kaizer
Ila Be Carefully
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom