Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
CCM! CCM! CCM! hamtaiweza na mtazeeka mkisema hivyo hivyo, aliishindwa mababa zenu sembuse nyinyi? sana sana mtapigwa mabomu, mwishie kupata vilema bila sababu! kisa? kuwatafutia watu ulaji!
BABA zetu walitufungulia njia na kutupa mwanga ili tuweze kuwamwaga BABA zako? hata kwa mabomu tunasonga mbele haturudi nyuma.