Naomba uipe jina hii picha

Naomba uipe jina hii picha

ndetichia

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,769
Reaction score
6,589
panda.gif


source:tanzagiza.com
 
Nchi aliyozaliwa kijana bagamoyo hana kichwa, akawekewa nazi na sasa ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
 
Nchi huliwa na wenye meno, hutawaliwa na watawala,lakini imani ya mtu ni mtu mwenyewe. maendeleo ya mtu ni mapinduzi ya shughuli za mtu binafsi na wala hataletewe kama sadaka.
 
Ukitaka kula sharti uliwe.....tehe tehe teheeeee................. Hapana hapana sikumaanisha hivyo!
 
National cake huliwa na wenye vichwa nazi tu!
 
Nchi nzima GIZA na wananchi wake SHIDA tupu na Maisha MAGUMU.Ila kwa mkulu maisha tambalale yamenyokaaaa kabisa anakula BATA Ikulu full umeme na kila kitu.
 
Nchi huliwa na wenye meno, hutawaliwa na watawala,lakini imani ya mtu ni mtu mwenyewe. maendeleo ya mtu ni mapinduzi ya shughuli za mtu binafsi na wala hataletewe kama sadaka.
<br />
<br />
imetulia.
 
kila mtu anaweza kuongoza nchi ni kupewa nafasi tu
 
dia hawa wanalalamika nini?kwani genereta ni bei ghali?hata huo mzigo kajitakia tu kwani sisi hatuuoni?mbona hatujaubeba.
mwache ajipendekeze,suti zenyewe mwarabu kanipa masharti ya mahali pa kuzivalia na kazi za kuzifanyia sherehe,makongamano,mikutano na shughuli zozote zinazokuwa na makulaji na makunywaji.
uongo dia?
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom