mchecheto
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 1,532
- 1,465
pichu ndo nn bana?NB:
1.Azingatie usafi,ikiwemo kubadilisha Nguo ya ndani pichu,asikae nazo muda mrefu.
2.aache kutumia pichu za mpira atumie cotton.
3. Usafi katika kujisafisha yeye mwenyewe kwenye nyeti zake,asijafishe vizuri maji safi na Salama.
4. Kama kuna sabuni au kitu chochote cha kemikali au viunga vyovyote vya kubana Bibi ake aache,hivo pia vina sababisha kutoa harufu kali.
5. Hizo njia hapo juu ni za asili,dare her to use any chemical kwa bibi ake,ataoata madhara zaidi.
Hamjachelewa bado,mwambie atumie sana sana mchaichai kunawa na punje za vitunguu swaumu kumeza within a week tatizo litaanza kupungua. Mengine mkiona vitawasaidia leteni feedback but wengine ninao washauri hayo tatizo huwa zinakwisha kabisa.
yaani ungetamka jina lake halisi dushee lazima isimame sijui nina nn
Sent using Jamii Forums mobile app