Naomba Ufahamu juu ya hili

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Je kama mfanyakazi na una uanachama NSSF,PPF etc. Je kuna uwezekano wa kuhama uanachama sehemu moja na kwenda kwingine? kwa mfano: UPO PPF na UNATAKA KUHAMIA NSSF; Pia kama kuna sheria husika naomba kujulishwa.

Thanking you in advance,
KIMBWEKA
 
Back
Top Bottom