Naomba ufafanuzi wa Sentensi hii

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Wakuu nahitaji ku-apply chuo kwajili ya mdogo wangu, sasa hii statement nimeshindwa kuielewa vizuri. Ni muda mrefu sana tangu kufanya shughuli hii.

(The entry qualification for this programme shall be holders of Certificate of Secondary Education (CSEE) with five passes including “D” pass in Chemistry, Biology, Physics/Engineering Sciences, Basic Mathematics and English Language.)

SWALI
1: Hapo kwenye five passes. Je pass ya form 4 inaanzia grade ipi ( D, C, B au A)?

2: Hapo kwenye including a "D" pass in Chem, Bio, Phys, Maths and Engl. Je wanamaanisha anatakiwa awe na D katika kila somo lilotajwa hapo juu?
 
Passes ni D.

( Nadhani C kwenda juu ni Credits ).

Kwahiyo hapo unatakiwa kuwa na Passes 5, lakini hizo passes lazima iwepo na ya aidha Phys, Chem, Bios, au Maths pamoja na ya English.

That's from my own understanding.
 
Thanks
 
Passes ni D.

( Nadhani C kwenda juu ni Credits )...
Acha kupotosha,

Apo inamaana anatakiwa awe na D nne na kuendela, D izo ikiwa ni za masomo yaliyotajwa hapo juu...
.
Pass ya form four kwenda chuo ni kuanzia wastan wa D na sio C.
 
Ahsante boss.. I thought so.
 
Wakuu nahitaji ku-apply chuo kwajili ya mdogo wangu, sasa hii statement nimeshindwa kuielewa vizuri. Ni muda mrefu sana tangu kufanya shughuli hii.

(The entry qualification for this programme shall be holders of Certificate of Secondary Education (CSEE) with five passes including “D” pass in Chemistry, Biology, Physics/Engineering Sciences, Basic Mathematics and English Language.)

SWALI
1: Hapo kwenye five passes. Je pass ya form 4 inaanzia grade ipi ( D, C, B au A)?

2: Hapo kwenye including a "D" pass in Chem, Bio, Phys, Maths and Engl. Je wanamaanisha anatakiwa awe na D katika kila somo lilotajwa hapo juu?
.......................with five passes including at least a“D” pass in either Chemistry, Biology, Physics/Engineering Sciences, Basic Mathematics and ..../ .....English Language.)

Inaonyesha kama hayo maneno yenye bold, mchapaji aliyaruka, ila sina uhakika sana
 
Back
Top Bottom