Naomba ufafanuzi wa michango ya PSSSF

Naomba ufafanuzi wa michango ya PSSSF

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
656
Hivi hii michango ya watumishi wa umma ya PSSSF huwa ina riba au ulichochangia ndicho utakuja kupewa ukistaafu?

Kuna mshikaji amechangia Mil.99 na atastaafu miaka miwili ijayo, sasa yuko stressed kwamba watampa kiinua mgongo cha mil 33 kwa mkupuo mmoja na pensheni ya mil 1.5 kwa mwezi kwa miaka 3 (Jumla milioni 87).

Haoni zitamsaidia nini baada ya kuwa ameitumikia serikali kwa miaka 35. Kwanini apewe mil 87 wakati amechangia mil 99 na pesa zake zimekaa kwao miaka yote hiyo? Angenunua bond za BOT si angekuwa anapata asilimia 7% kwa mwaka?

Sasa wao kwanini wampe kiasi kile kile alichochangia? Halafu mbona jumla ya pesa zooooote watakazompa ni ndogo kuliko alichochangia??
 
Kwa kweli inaumiza!
 
Back
Top Bottom