Naomba ufafanuzi wa maneno: Would, Could and Should

Naomba ufafanuzi wa maneno: Would, Could and Should

If i knew u were there i would have come!(kama ningejua upo pale ningekuja)
You should have told him all the truth (ungemwambia ukweli wake wote bwana yule)
Could you plsease come with my laptop (tafadhali nakuomba uje na kompyta mpakato yangu)
Unapiga shule watu, hongera
 
can past tense yake could
will past tense yake would
shall past tense yake should

NB:MTOA MADA MAMBO YA SHULE YA MSINGI UNAKUJA ULIZA HUMU ACHA UJINGA DOGO

Eddy Love wacha UBISHI bhana ebu mjibu dogo maswali yake.Labda Kiranga atusaidia kufafanuwa.
 
senetence hii ndio utaelewa

If i were your neighbor i would sleep with your daughter since i could get inside your house so easily so you should buy a new alarm system to alert you.

boniface Salim duh nilifikiri "jambazi" Ndio kaandika haya.
 
Hongereni kwa darasa huru",..
Tenses ndio balaa tupu katika uzungumzaji wa Lugha hii.Unaweza ongea sentensi hiyo mghh mf. Tomorrow I went (ilimtokea mtu hii mbele ya hadhira) hadi leo TOMORROW I WENT..
 
Back
Top Bottom