The greater man
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 237
- 190
JAMAN NAOMBEN UFAFANUZ WA MATUMIZI YA MANENO HAYA
1-Would
2-Could
3-Shuold
1-Would
2-Could
3-Shuold
Dunamba tatu (3)😕
ha ha ha nipast sawa ila zinatumika ktk conditional sentenceHizo zinatumika ktk past tense MF.can-could,will-would,shall-should
ha ha ha nipast sawa ila zinatumika ktk conditional sentence
hapo ndo tunapata matumiz ya ngeli na ngali kwa kiswahili
mfano; kama ningelikua ww
if i were you + past participle tence,..
Da! Ahsnt ndugu we kichwa unacredit ngap?Hizo zinatumika ktk past tense MF.can-could,will-would,shall-should
Mbona hapo hauja andika if i were yyha ha ha nipast sawa ila zinatumika ktk conditional sentence
hapo ndo tunapata matumiz ya ngeli na ngali kwa kiswahili
mfano; kama ningelikua ww
if i were you,..
ok, conditional sentence zipo aina tatuMbona hapo hauja andika if i were yy
Type threeok, conditional sentence zipo aina tatu
type1, type2 & type3
if i were you + would + have+past perticiple
na hii inapatikana ktk type3
mfano if i were you, i would have passed my exams
ikiwa na maana
kama ningelikuwa wewe ningefaulu mitihan yangu
Da mm utamu kama huo ndo nlikuwa nautaka kweli hz ni past lkn zinabadirika ktk matumiz mengineha ha ha nipast sawa ila zinatumika ktk conditional sentence
hapo ndo tunapata matumiz ya ngeli na ngali kwa kiswahili
mfano; kama ningelikua ww
if i were you,..
Ww acha kukrem kila kitu umeona Google tu kunawatu vichwa kuliko hyo Google ykoJasho lanitoka nyembambaa ...lakini jamaa ndo kakomaa eti hajauliza Google duh, ngoja kidogo naenda msalani
Dada brother mm ndo kama hvo nlikuwa nataka hyo na najua kama hzo ni past ila ktk conditional sentence ndo ilikuwa shidaok, conditional sentence zipo aina tatu
type1, type2 & type3
if i were you + would + have+past perticiple
na hii inapatikana ktk type3
mfano if i were you, i would have passed my exams
ikiwa na maana
kama ningelikuwa wewe ningefaulu mitihan yangu
How comes for will and shall to be used in Past tense?Hizo zinatumika ktk past tense MF.can-could,will-would,shall-should
naomba kuuliza hv ngeli na ngali ni sawa ?ha ha ha nipast sawa ila zinatumika ktk conditional sentence
hapo ndo tunapata matumiz ya ngeli na ngali kwa kiswahili
mfano; kama ningelikua ww
if i were you,..
Conditional sentences type 2ok, conditional sentence zipo aina tatu