euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,943
- 4,383
nashukuru ndugu bt pia naomba unitafsirie hzi sentence kwa kiswahilingali=ngali
which means;
kama ningalikua wewe,ningali kimbia
ngali ktk sentensi yakwanza inaoana na ngali ktk sentensi ya upande wa pili
ngeli=ngeli
ikitokea kutafsili sentensi kama hizi kutoka ktk english to swahili ilo ni jukumu lako kutumia ngeli ama ngali
kwani sikila sentensi ya english unaweza kutafsili kama kiswahili kilvyo
1.If I were you ,I would run away"
2.If I had have been you ,I would have ran away.
pia waweza sahihisha nilipokosea