Msemaji_
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 611
- 841
Geolocation ya kila mtumishi na kituo chake cha kazi, hii itahusisha tasrifa za kila mtumishi na location ya kituo cha kazi,pia monitoring and evaluation ya kila kituo cha kaziMkuu vp kwa mtu anaefanya kazi idara ya utumishi hii kozi pia itamfaa