Naomba ufafanuzi wa huu msemo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,402
40,307
Huu msemo unaosemwa na watu, kuwa maisha yanaanza ukiwa na miaka 40, una maana gani wakuu? Kwa sababu mimi nipo nipo tu, na nipo kwenye hiyo miaka na sijielewi elewi?

Karibuni kwa ufafanuzi.
 
Hauna maana yoyote ile zaidi ya kukuwekea limitations kwenye hustling zako utaanza kuona umeshachelewa kiutafutaji kumbe ukitumia akili yako vizuri unafanikiwa tu.

Think positive mkuu, wapo watu weengi tu wamefanikiwa kwenye umri zaidi ya 40 nawesa kuweka list hapa na isitoshe .
 
Ukifika miaka 40 uwe kenye levo ya kuandaa na kupanga maisha yako baada ya kustaafu na sio kuwazia ada, kodi, usafir, chakula au hela ya pombe. Kiufupi kwenye early 40s uwe na vyanzo vya uhakika vya pesa.
Kama hakuna mafanikio kwa umri huo, inaleta ishara gani kwa uzeeni?
 
Ukifika miaka 40 uwe kenye levo ya kuandaa na kupanga maisha yako baada ya kustaafu na sio kuwazia ada, kodi, usafir, chakula au hela ya pombe. Kiufupi kwenye early 40s uwe na vyanzo vya uhakika vya pesa.
Unasema hivyo kwasababu umeshafanikiwa sio?,na hata hio tafsiri uliyotoa sio
 
Hauna maana yoyote ile zaidi ya kukuwekea limitations kwenye hustling zako utaanza kuona umeshachelewa kiutafutaji kumbe ukitumia akili yako vizuri unafanikiwa tu.

Think positive mkuu, wapo watu weengi tu wamefanikiwa kwenye umri zaidi ya 40 nawesa kuweka list hapa na isitoshe .
Kweli inabidi kuondoa hofu mkuu
 
Hauna maana yoyote ile zaidi ya kukuwekea limitations kwenye hustling zako utaanza kuona umeshachelewa kiutafutaji kumbe ukitumia akili yako vizuri unafanikiwa tu.

Think positive mkuu, wapo watu weengi tu wamefanikiwa kwenye umri zaidi ya 40 nawesa kuweka list hapa na isitoshe .
Umeuelewa vibaya huo msemo,huwa wanamaanisha kwamba ukifika miaka 40 unakuwa umepevuka vya kutosha na akili yako imekuwa ya mtu mzima, ndiyo mwanzo wa kupangilia mambo yako vizuri,ule ujana ujana wa kuruka ruka hapa na pale uachane nao,unatakiwa ku-focus kwenye mambo ya maendeleo,japo pia unatakiwa uwe na mda wa kupumzika (leisure time).
 
Kwa wanaopita njia nyoofu, at 40 angalau umeshajua mwanao wa mwisho ni namba ngapi,
kwa watoto wanaosoma wameshanyanyuka kiasi first born ameshafika chuo so una picha ya wanaomfuata wanaelekea upande gani,

Kwa maisha ya kijamii, Kama ulichanga karata vizuri at 40s' ndio unapata kula bata baada ya kuzoeana vizuri na mwenza wako baada ya ups and downs za ujanani...hapo ndio utaona raha ya kushona sare za vitenge na kumtafuta nyumba nzima ili tuu mketi wote mezani mle lunch...!

Na kama bado ulikua unakula ujana ukachelewa kuamka at 40s ndio unatamani upate maisha ya utulivu wakati huo huo mfano hukupata nafasi ya kuwekeza katika ubora unaotakiwa so utaona Kama vile dunia inakutenga, imagine kuanzisha mahusiano mapya katika umri huo, hamjazoeana Mara mshafuniana, kidogo Mara kakutapeli kiwanja hati ipo kikoba, Mara first born anazaliwa nawewe ndo mirija ilikufanya uvimbe ujanani inakata ghafla, maisha yanakua ya Moto ..
 
Kiuhalisia unatakiwa uwe kwenye levo ipi ya kimaendeleo?
 
Miaka 40 ya mzazi na first born wake yuko chuo? Like serious? Tuanze na wewe mwanaume. Tofauti za wewe na mwanao hapo ni wastani wa miaka 20 tuseme kaenda chuo at 19 au 20. Wewe umempata huyo mtoto ukiwa na say 22 ulikuwa umejitegemea ukiwa labda wewe baba wa huyo mtoto hujasoma hadi chuo. Au mahesa yako ndo haya haya ya necta bado hesabu ziliwanganya wazazi sasa na watoto yanawakuta.
 
ukiwa na 40:-

1. ushajenga

2. unaongeza nyumba ya 2 ya biashara

3. una uhakika wa ada kama wanasoma au ushamaliza kusomesha

4. una usafiri wako

5. una vijimiradi vyako

6. una uhakika wa kubadilisha mboga
 
^The study has disclosed the fact that the major reason why the majority of people who succeed do not begin to do so before the age of 40, is their tendency to DISSIPATE their energies through overindulgence in physical expression of the emotion of sex.

^At age 40, nature begins to HARMONIZE their emotions, so that a concentrated, beneficial focus is called into action.^
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom