Naomba ufafanuzi wa hii course geomatics

Naomba ufafanuzi wa hii course geomatics

flyn ryder

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
656
Reaction score
86
...samahanini wadau wenye uelewa wa hii course inaitwa geomatics(land surveying) inapatikana ardhi university..nataka kujua kama ina soko katika ajira maana nategemea kusoma hio course..naomba mnisaidie
 
Nzuri! Jipange ili kuimudu, wenyej wa ardh wanaiita course ya WASAKA NYOKA! haisumbui kimaisha coz unaweza kujiajir au kuajiriwa! Over
 
Join Date : 9th August 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
karibu J.F...
 
Nzuri! Jipange ili kuimudu, wenyej wa ardh wanaiita course ya WASAKA NYOKA! haisumbui kimaisha coz unaweza kujiajir au kuajiriwa! Over

Thanx kaka kwa ushirikiano wako..nimeomba kupitia tcu na nimeweka first choice na nafkiri pass Zangu zitaniruhusu kupata..nitajitahidi na mungu atanisaidia
 
Thanx kaka kwa ushirikiano wako..nimeomba kupitia tcu na nimeweka first choice na nafkiri pass Zangu zitaniruhusu kupata..nitajitahidi na mungu atanisaidia
Na ukiwa na diploma ya geomatics unaweza kudahiliwa bsc. civil engineering, hasa kwa vyuo vya bongo...?
flyn ryder
 
Back
Top Bottom