Naomba ufafanuzi; ukisoma International relations unaweza kufanya kazi gani?

Habari zenu wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2017 combination HGK na nimepata daraja la pili kuna mtu amenishauri nisome fuculty ya International Relation.naomba kujua je faculty hii inahusika na kazi gani na je bado ina nafasi za ajira?na je inapatikana vyuo gani hapa tanzania?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Ni course nzuri nenda UDOM ipo chini ya department ya political science and public administration ada yake ni laki 800,000 me nilipiga Pspa udom so tunashare vitu vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom