Naomba ufafanuzi uhalali wa gharama za kupima ardhi, kulipia nguzo Tanesco

vngenge

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
539
270
Naomba ufafanuzi juu ya uhalali wa gharama za kupima ardhi. Kuna uhalali gani wa kulipa hizi gharama wakati sisi ni wapangaji na tunapaswa kulipa kodi ya Ardhi kila mwaka?. Inashangaza watumishi wanalipwa na serikali, vifaa vya serikali. Kama kweli kuna ulazima wa kulipa kwanini yasihesabike kama malipo ya awali ya kodi ya Ardhi?.
Tanesco, the same case gharama hizi za service line Na nguzo kwa nini zisirudishwe kwa mteja kama kama manunuzi ya Umeme kulingana Na gharama ulizotoa?
 
Back
Top Bottom