Naomba ufafanuzi kuhusu Printer aina ya Epson M2140

gmstarpro

Senior Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
101
Reaction score
74
Kwa anae jua kuhusu hizi printer za Epson M2140 Naombeni msaada juu ya utendaji kazi wake. Bei nimeona ni reasonable ila speed yake na ubora wake ndio cjui na pia mwenye anajua printer ya chin ya 750k yenye uwezo wa kutoa copy nyingi.​

Screenshot_20210419-183022.jpg
 
Cha muhimu kujua ni kama catridges zake zina patikana,maana kinyume cha hapo hata kama ina speed kubwa itakuwa haina maana...
 
Ungesema kwa matumizi gani ingekuwa rahisi kushairi ila ina speed nzuri tu ya 39ppm, wino wake original inatoa 6000 pages, kwa matumizi ya kawaida ya kiofisi sio mbaya, ila kwenye biashara itakuboa kama utaitegemea kutoa copy copy nyingi kwa muda mfupi.
Pia huwezi ku scan pages nyingi, inakulazimu kuscan moja moja.

Kuna zingine unaweka karatasi zako unaendelea kufanya mambo mengine yenyewe inaendelea mitoa kopy na kuscan.

Kwa anae jua kuhusu hizi printer za Epson M2140 Naombeni msaada juu ya utendaji kazi wake. Bei nimeona ni reasonable ila speed yake na ubora wake ndio cjui na pia mwenye anajua printer ya chin ya 750k yenye uwezo wa kutoa copy nyingi.​

View attachment 1758204
 
Asante mkuu kwa mrejesho. Nilikua nataka kwa biashara . Unafuu wa bei ndio ulinivutia na speed yake
 
Ungesema kwa matumizi gani ingekuwa rahisi kushairi ila ina speed nzuri tu ya 39ppm, wino wake original inatoa 6000 pages, kwa matumizi ya kawaida ya kiofisi sio mbaya, ila kwenye biashara itakuboa kama utaitegemea kutoa copy copy nyingi kwa muda mfupi.
Pia huwezi ku scan pages nyingi, inakulazimu kuscan moja moja.

Kuna zingine unaweka karatasi zako unaendelea kufanya mambo mengine yenyewe inaendelea mitoa kopy na kuscan.
mkuu kwa uzoefu wako unanishauri ninunue printer gani ya bei ndogo ambayo nitaitumia kwa shughuli za stationery. sehemu nilipo mimi wateja wang huwa hawatoi copy nyingi ni wa copy chahche tu.
 
Epson L805, ingawa kuna model ya juu ya hapo ulizia
 
Unaijua hiyo printer? L800, 805 nijuavyo hazina copy labda kama matoleo mapya yameongeza kipengele cha copy.

Linakuja suala la copy giant ni canon
 
Inatoa copy ndugu, canon ndiyo kazi yake ya kufanya copy mind kuwa bei zake zimechangamka na yeye hana wateja wengi

Screenshot_20220122-092958.png
 
Inatoa copy ndugu, canon ndiyo kazi yake ya kufanya copy mind kuwa bei zake zimechangamka na yeye hana wateja wengi

View attachment 2091214
Nimekuuliza unaifahamu? Huna haja ya kubishana ikiwa hata kwa macho yako hujawahi kuona. L805 ni single function. It is specific for print. Hayo unayo Google bila kuyasoma hayakusaidii.
 
Kwa anae jua kuhusu hizi printer za Epson M2140 Naombeni msaada juu ya utendaji kazi wake. Bei nimeona ni reasonable ila speed yake na ubora wake ndio cjui na pia mwenye anajua printer ya chin ya 750k yenye uwezo wa kutoa copy nyingi.​

View attachment 1758204
Moja kati ya usumbufu mchina kaamua kutuletea sababu ya vita ni hili jini. Napenda products za epson ila hapa walitoa boko.
 
Back
Top Bottom