NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Shukrani Mkuu, Nitafanya hivyo alafu nitaleta mrejesho. Niliona niwashirikishe wanajukwaa kwa sababu taarifa ya leo imekinzana na taarifa niliyopewa awali kipindi cha kujiunga.Ungefanya Kwanza alivyokuelekeza huyo dada, ukikwama na huko ndio ungeanzisha Uzi.
Je, wakati wa unastaafu .Pension wanakulipaje sasa.Utakuwa unachukua kote kuwili. PPF umechangia 10years na labda NSSF 7 years inakuwajeMichango yako iliyoko PSSSF itabaki huko huko na wakati wa kuichukua utafuata taratibu za huko huko PSSSF kuipata.
Hivyo hivyo huku NSSF pia utafuata taratibu zao kupata haki zako. Hakuna muingiliano wowote wala kuunganishana.
Aende PSSSF kuna forms za kujaza akisha jaza atatakiwa kurudisha kwa muajiri wake,then muajiri akishapitia na kujaza sehemu yake muajiri ataipeleka tena PSSSF ili utaratibu wa kukuunganisha kutoka NSSF ufanyike na michango yako kuingizwa.Michango yako iliyoko PSSSF itabaki huko huko na wakati wa kuichukua utafuata taratibu za huko huko PSSSF kuipata.
Hivyo huku NSSF utafuata taratibu zao kuipata. Hakuna muingiliano wowote.
Yes, utafuatilia pesa zako zilizoko PSSSF then ukimaliza utafuatilia pesa zako zilizoko NSSF.Je wakati wa unastaafu .Pension wanakulipaje sasa.Utakuwa unachukua kote kuwili.PPF umechangia 10years na labda NSSF 7 years inakuwaje
Hiyo ni kama unazichukua kwa mkupuo.Kama ume qualify kwa pension ya kila mwezi inakuwaaje (yaani umestaafu sasa)Yes, utafuatilia pesa zako zilizoko PSSSF then ukimaliza utafuatilia pesa zako zilizoko NSSF.
Kila taasisi inafanya kazi kivyake na kwa taratibu zake.
Kuunga michango haiwezekani, ila kama unataka kulipwa mafao yako ndo wanaijumuisha, kikubwa kitambulisho chako cha PPF uwe nacho, kwa mfano mimi nilikuwa LAPF baadae mifuko ilivounganishwa nikawa PSSSF lakini walikuja kutuambia tuanze kuchangia NSSF....sasa siku nadai madai yangu, nilienda nikachukua statement PSSSF nikaipeleka NSSF, lakini nilipoomba statement ya NSSF ile michango ilikuwa PSSF haikuonekana, but wakati wananilipa hela iliingia yote....ila huo mzunguko wake hadi nalipwa usiombe....Wanabodi habari ya majukumu?
Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili...
Watafuata utaratibu wa kawaida wa pension ulivyo kwa mujibu wa kikokotoo chao.Hiyo ni kama unazichukua kwa mkupuo.Kama ume qualify kwa pension ya kila mwezi inakuwaaje (yaani umestaafu sasa)
Kwa sheria ya pension hiyo haiwezekani .Kwani sheria ya pension inasema lazima uchangie miaka si chini ya 15 (au miezi 180) ndio unaqualify ile monthly pension na lampsum kutokana na kikokotoa.Watafuata utaratibu wa kawaida wa pension ulivyo kwa mujibu wa kikokotoo chao.
Yaani kwa lugha ni kama kila mfuko haujui kama una pesa sehemu nyingine. Wao wanachojua wewe ulikuwa mchangiaji kwenye mfuko wao, na unataka chako.
Na kama ni hivyo, ni kwanini fao la kujitoa liliondolewa mpaka mchangiaji afikishe miaka 55.Kwa sheria ya pension hiyo haiwezekani .Kwani sheria ya pension inasema lazima uchangie miaka si chini ya 15 (au miezi 180) ndio unaqualify ile monthly pension na lampsum kutokana na kikokotoa .Sasa mimi swali umeshachangia 17 years (10yrs NSSF ,7yrsa PPF) wanakulipaje ?kwa sababu ume qualify kupata pension na vigezo vingine kuzingatiwa(55years na kuendelea kumefikisha) Mimi hilo ndio swali langu
Wewe umelipwa one lumpsum au Lumpsum na kila mwezi unapokea kama mstaafu.Hilo ndio swali langu.Kama ni mkupuo moja hiyo inawezekana .Kuunga michango haiwezekani, ila kama unataka kulipwa mafao yako ndo wanaijumuisha, kikubwa kitambulisho chako cha PPF uwe nacho, kwa mfano mimi nilikuwa LAPF baadae mifuko ilivounganishwa nikawa PSSSF lakini walikuja kutuambia tuanze kuchangia NSSF....sasa siku nadai madai yangu, nilienda nikachukua statement PSSSF nikaipeleka NSSF, lakini nilipoomba statement ya NSSF ile michango ilikuwa PSSF haikuonekana, but wakati wananilipa hela iliingia yote....ila huo mzunguko wake hadi nalipwa usiombe....
Mkuu nakushukuru sana,Nitaenda huko.Hakika JF idumu.Aende PSSSF kuna forms za kujaza akisha jaza atatakiwa kurudisha kwa muajiri wake,then muajiri akishapitia na kujaza sehemu yake muajiri ataipeleka tena PSSSF ili utaratibu wa kukuunganisha kutoka NSSF ufanyike na michango yako kuingizwa...
Mkuu ulilipwa fao gani? ni lile la kujitoa?.Kuunga michango haiwezekani, ila kama unataka kulipwa mafao yako ndo wanaijumuisha, kikubwa kitambulisho chako cha PPF uwe nacho, kwa mfano mimi nilikuwa LAPF baadae mifuko ilivounganishwa nikawa PSSSF lakini walikuja kutuambia tuanze kuchangia NSSF....sasa siku nadai madai yangu, nilienda nikachukua statement PSSSF nikaipeleka NSSF, lakini nilipoomba statement ya NSSF ile michango ilikuwa PSSF haikuonekana, but wakati wananilipa hela iliingia yote....ila huo mzunguko wake hadi nalipwa usiombe....
usumbufu wafanye wenyewe ,mwajiriwa siye aliyeunga hiyo mifukoAende PSSSF kuna forms za kujaza akisha jaza atatakiwa kurudisha kwa muajiri wake,then muajiri akishapitia na kujaza sehemu yake muajiri ataipeleka tena PSSSF ili utaratibu wa kukuunganisha kutoka NSSF ufanyike na michango yako kuingizwa...
Unalipwa nahisi mkupuo huwi kwenye pensionable scheme.Ila kuna kipengele waliweka kuwa ukiacha kuchangia kwa kuacha kazi ulipwi chochote ila ukiachishwa unalipwa % ya mshaharabwako kwa miezi 6 wanaita fao la kukosa ajira .So sina hakika wakishakulipa hiyo kuna cjichote utapata tena hata ufike 55Na kama ni hivyo, ni kwanini fao la kujitoa liliondolewa mpaka mchangiaji afikishe miaka 55.
Je, kama ulifanya kazi miaka 5 na hukuchukua michango yako mpaka ukawa na 55 of age utalipwa vipi??
Kwa mujibu wa sheria mpya iliyounda hii mifuko 2, NSSF kwa private sector na PSSSF kwa walioko serikalini ni kwamba kuna utaratibu wa kuunganisha michango ili mchangiaji wakati wa kuchukua mafao achukue kwa pamoja na aweze kunufaika zaidi.Michango yako iliyoko PSSSF itabaki huko huko na wakati wa kuichukua utafuata taratibu za huko huko PSSSF kuipata.
Hivyo hivyo huku NSSF pia utafuata taratibu zao kupata haki zako. Hakuna muingiliano wowote wala kuunganishana.